Mgeni Rasmi ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk .Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia, |
Mwongoza Mada Modesta Mbughunia kifurahia jambo katika mjadala wa Uwiano sawa wa kijinsia uliofanyika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia. |
Mhadhiri kutoka Centre of Foreign Relations and International Affairs Prof.Ruth Meena akifafanua jambo wakati mjadala kuhusu uwiano sawa wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia. |
Mmoja wa wazungumzaji wakuu Prof Slyvia Kaaya akichangia mada katika mjadala wa uwiano sawa wa kijinsia pembeni yake ni Bi Mary Rusimbi aliyekuwa mkurungezi mtendaji wa BOT ,na kulia kwake ni Mwenyekiti wa TAWLA Aisha Bade ,anayefuatia ni Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
Waziri wa fedha mstaafu Mama Zakhia Meghji akichangia katika ya uwiano sawa katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
Mwandishi wa habari Mkongwe Bi Edda Sanga akichnagia mada ya Usawa wa Kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
Mfanyabiashara na blogger Monica Joseph akichangia mada katika mjadala wa usawa wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
MC Taji Liundi akiongoza utaratibu katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
Mwanafalsafa Dk Elie Waminian akitoa mada katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
Mmoja wa wasichana waliopata usimamizi (Mentorship ) kutokaTaasisi ya TWA Dalini Kilemba akitoa ushuhuda kwa washiriki jinsi TWA walivyoweza kubadilisha maisha yake katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi yaliyofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia. |
|
Mwanamzuki CHi akitumbuiza katika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
Washiriki mbalimbali wa kongamano wakiweka saini zao katika ubao maalum katika namna ya kutoa ahadi ya Uwiano sahihi wa kijinsia katika kongamano la shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia |
No comments:
Post a Comment