Saturday, 5 March 2016

UMOJA PRIMARY & NURSERY YAPATA MWENYEKITI MPYA


Victor Mwakila akiomba kuara kwa wajumbe

Zephania Chaula akiomba kura





Mandhari ya shule

Aiton Haule akiomba kura.

Shule ya Umoja Primary and Nursery School (English Medium) ya jijijini Mbeya imemchagua Victor Mwakila kwa mweneyekiti mpya wa shule katika kikao cha wazazi cha uchaguzi wa wajumbe na mwenyekiti leo. 

Katika uchaguzi huo wa wajumbe na mwenyekiti wa kamati ya uongozi, Mwakila alichaguliwa kuwa mwenyekiti mpya baada ya kupata jumla ya kura 63 dhidi ya mpinzani wake Aiton Haule aliyepata kura 25.


Aidha kikao hicho kimemchagua Zephania Chaula kuwa makamu mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa shule hiyo baada ya kumshinda mpinzani wake Aiton Haule kwa kura 65 dhidi ya 23.


No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...