Wednesday, 2 March 2016

UWIANO SAWA BANNER









Tarehe 8 March tunasherekea siku ya wanawake sasa tutakuwa na kampeni ya uwiano sawa wa kijinsia hivyo naomba msaada wenu kuweka banner kwenye blog zenu kuonyesha kuungana na Taasisi ya wanawake (TWA) ambao ndio waandaji rasmi wa kampeni hii ambayo itaambatana na matembezi tarehe 5 mgeni rasmi akiwa ni Mh Ummy Mwalimu ( Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,) 


Jumuika ńa #HatujafikaBado ńa utume ujumbe kuhamasisha upatikanaji wa #UwianoSawaKijinsia @TWAorg #PledgeForParity

Na tarehe 6 tutakuwa na kongamano kujadili usawa wa kijinsia litakalofanyika Hyatt Regency Hotel Mgeni Rasmi akiwa ni Makamu wa Rais,Mama Samia Suluhu http://twa.or.tz/pledge/

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...