Saturday, 2 April 2016

Mwenyekiti wa mtaa na ofisa mtendaji watuhumiwa kuuza ardhi kinyume cha sheria




Mwenyekiti wa mtaa wa Nsalala wilaya ya Mbeya Stephano Mshani (CHADEMA)na ofisa mtendaji Lwitiko Mwaibindi, walipokamatwa jana baada ya kutuhumiwa kuuza ardhi ya Mamlaka ya mji wa Mbalizi kinyume cha sheria na kuweka fedha hizo kwenye akaunti binafsi ya Mwenyekiti huyo.

Mwenyekiti asema wameuza Milioni nane 8,000,000, Mtendaji aonyesha document kuwa wameuza Milioni nane na laki sita na elfu hamsini 8,650,000.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...