Friday, 3 June 2016

WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI (WUAs)








Chanzo cha maji kinachohifadhiwa na jumuiya ya ya watumia maji cha MBUTILU wilaya ya wanging'ombe mkoani Njombe. 






Mwenyekiti wa Jumuiya ya MBUMTILU Asheri Ludaliko Kilasi akiwaelezea mwandishi wa habari jinsi gani jumuiya hiyo imeweza kutunza Chanzo cha maji cha mto Mtitafu. MBUMTILU inajumlisha mito mitatu ya Mtitafu, Bukwe na Lubidzi ambapo wameweza kuhifadhi jumla ya vyanzo vya maji 428. Jumuiya hiyo alianzishwa mwaka 2009 wilaya ya wanging'ombe mkoani Njombe kwa ufadhili wa shirika la uhifadhi la WWF.










Chanzo cha maji kinachohifadhiwa na jumuiya ya watumia maji ya MBUTILU Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kwa ufadhili wa shirika la WWF. 









Banio la maji katika mto Mtitafu wilayani Wanging’ombe

















Kitalu cha miti ya asilia ya Mivengi cha Jumuiya ya MBUMTILU chenye miti zaidi ya 1,440 ambayo inatarajiwa kupandwa katika vyanzo vya maji 196. WWF imewawezesha Jumuiya hiyo vifaa vya uwagiliaji.
















Wajumbe wa kamati ya misitu ya kijiji cha Mabadaga wilayani mbarali mkoani Mbeya wakiwatembembeza waandishi wa habari katika misitu wa kijijin hicho uliyohifadhiwa. Misitu huo una jumla ya hekta 900.










Mweka Hazina wa jumuiya ya JUWABODOFYA Ferista Chengula. Ziara hiyo ilifadhiliwa na WWF kupitia program ya maji ya Ruaha (RWP) kwa kushirikiana na Mratibu wa mradi huyo James Mturi. 






Katibu wa umoja wa watumia maji JUWABODOFYA Joseph Malamla wakiwaonesha wanahabari kutoka TBC (Irene Mwakalinga), Mwananchi (Hakimu Mwafongo), Star TV (Mawazo Malembeka), ITV (Silvanus Kigomba) na Guardian (Friday Simbaya) miembepoli iliyopandwa kwa chanzo cha maji cha mto Mfyamba jana. Jumuiya hiyo ipo katika Kata ya Madibila wilayani Mbarali.
















Wajumbe wa Jumuiya ya watumia maji bonde dogo la mto Mfyamba (JUWABODOFYA) akiongea na waandishi wa habari. Jumuiya hiyo inajumuisha vijiji sita vya uhambila, Matelefu, Mapogolo, Ihanzutwa, Nyamakuyu na Nyakadete.






Mweka Hazina wa JUWABODOFYA Ferista Chengula.


Ziara hiyo ilifadhiliwa na WWF kupitia program ya maji ya Ruaha (RWP) kwa kushirikiana Mratibu wa hiyo James 




No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...