Saturday, 3 September 2016

TIGO YATOA MSAADA WA MADAWATI 235 KWA SHULE ZA MSINGI MKOANI MARA




Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa akiongea na wazazi,walimu na wanafunzi wa shule ya msingiUtegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana. Jumla ya madawati 235 yalitolewa kwa mkoa huo. Pichani kutoka kushoto Meneja waTigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo,Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande ,Mkuu wa wilaya ya Rorya, Simon Chacha na Mwenyekiti wa Halmashauri mka Mara, Albert Machiwa





Meneja wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana. 





Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana, Wengine pichani kushoto kwake ni mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt.Charles Mlingwana Mkuu wa wilaya ya Rorya, Simon Chacha.





Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa akipokea madawati 235 kwa mkoa wa Mara toka kwa Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande kwenye hafla iliyofanyika shule ya msingi Utegi wilayani Rorya jana





Mkuu wa mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa na Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande wakinyanyua mikono juu mara baada ya makabidhiano ya madawati 135 kwa wilaya ya Rorya na jumla ya madawati 235 kwa mkoa wa Mara, hafla iliyofanyika shule yamsingi Utegi wilayani Rorya jana 







Wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wakiwa wameketi kwenye madawati waliopewa na kampuni ya simu za mkononi Tigo jana.






No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...