Wednesday, 9 November 2016

Boda boda kamgonga mama huyu na kukimbia...!

Ajali muda huu Mbalizi Mbeya eneo la Tanesco. Boda boda kamgonga huyu mama na kukimbia. Gari la kanisa la Uinjilisti Tanzania limetoa msaada kumpeleka hospitali ya Ifisi

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...