Sunday, 20 November 2016

MAHAFALI YA 19 YA CHUO KIKUU CHA IRINGA YAFANA




Meneja wa Uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa, Hana Kibopile (mwenye mataji mengi) ambaye pia ni msomaji mkubwa wa magazeti ya Nipashe na The Guardian ametunukiwa Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Usimamizi wa Biashara (Masters of Bussiness Administration) katika Mahafali 19 ya Chuo Kikuu cha Iringa (UOI) jana. (Picha na Friday Simbaya)

Afisa Mahusiano wa Chuo Kikuu cha Iringa Crispin Nyomoye ametunukiwa Shahada ya Uzamili ya sanaa ya wananhabari na usimamizi wa vyombo vya habari (Masters Degree of Arts in Journalism and Media Management) katika Mahafali 19 ya Chuo Kikuu cha Iringa (UOI) jana, ikiwa ni shahada ya uzamili ya kwanza Tanzania na  Afrika Mashiriki. (Picha na Friday Simbaya)











No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...