Thursday, 8 December 2016

Basi la New Force Lapata Ajali




Basi la New Force lilitokea Mbeya, kabla kidogo ya Igurusi, Mbarali, limekwanguana na lori lilobeba sabuni. Majeruhi ni mmoja tu - dereva wa lori - anayesemekana kuumia mguu.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...