Wednesday, 14 December 2016

HUYU NAYE AULA CHEO NDANI YA CCM


Halmashauri Kuu ya CCM imemteua aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato na baadaye mshauri wa Rais masuala ya siasa, Bwana Rodrick Mpogolo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, akichukua nafasi ya Rajab Luhwavi aliyeteuliwa kuwa Balozi.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...