Thursday, 16 February 2017

MTOTO APOTEA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA


Ndugu wadau wote, Mkuu wa shule ya SUN ACADEMY iliyopo Iringa Manispaa anatangaza kupotelewa na mtoto wa shule aliyekuwa anaishi hosteli kwa jina ERASTO HAMISI CHOTA, mvulana, umri miaka 11 rangi yake mweupe kiasi kapotea toka jana jioni 14/02/2017. Ukimwona tuwasiliane kwa no. 0754484321. Naomba tusambaze ujumbe na kwa makundi mengine.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...