Tuesday, 28 February 2017

PICHA ZINAHIFADHIWA KATIKA MAGAZETI



Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya St. Thomas Nyabula iliyoko wilayani Iringa, Nelson Mapembe alikutwa na mpiga picha jana akitumia gazeti la Nipashe kama mfano kuwakifundisha wanafunzi wa kidato cha tatu njia mbalimbali za uhifadhi wa picha. Shule hiyo ina milikiwa na Parokia ya Nyabula, Jimbo la Kanisa Katoliki la Iringa imekuwa ikitumia njia mbalimbali kwa vitendo katika kuwafundisha wanafunzi.(PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) 


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...