Mgeni Rasmi Katibu tawala wa wilaya ya Iringa, Joseph Chintika (mwenye suti ya bluu) akipokea maandamano ya wanawake kutoka manispaa ya Iringa walipokuwa wakiwasili katika viwanja vya Mwembetogwa jana katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, manispaa ya Iringa, mkoani Iringa. Kulia kwake ni Meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe, kaimu mkurengenzi wa manispaa ya Iringa Charles Lawiso na kushoto ni Naibu meya Joseph Lyata. (Picha na Friday Simbaya)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment