Sunday, 28 May 2017

MASHINDANO YA RITTA KABATI CHALLENGE CUP 2017 YAFANA


Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza (kulia) akipiga mpira kufungua mashindano ya Ritta Kabati Challenge Cup 2017 leo katika uwanja wa Kreluu mjini Iringa golini ni mbunge Kabati ambaye mdhamini wa mashindano hayo na katikati ni mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela ambae alikuwa ni muamuzi wa ufunguzi huo 



Mkuu wa wolaya ya Iringa Richard kasesela kulia akisalimiana na madiwani wa Chadema waliofika katika uzinduzi wa mashindano ya Ritta Kabati Challenge Cup leo kulia kwake ni mbunge wa kilolo Venance Mwamoto , Baraka Kimata na Leah 

Mwenyekiti wa Chadema Iringa mjini Frank Nyalusi kulia akiwa na viongozi mbali mbali meza kuu


Dereva wa DC Iringa Bw Rama akifuatilia mashindano hayo akiwa katika gari 

Mwenyekiti wa kamati ya mashindano Gerald Malekela akisoma taarifa ya mashindano hayo 

Kamati ya mashindano hii hapa 



Mwenyekiti wa IRFA Cyprian Kuyava akipongeza mashindano hayo 

Mwakilishi wa meneja wa NSSF mkoa wa Iringa 

Mbunge Rita Kabati akieleza sababu ya kuanzisha mashindano hayo 

Kamanda wa polisi mkoa Julius Mjengi wa tatu kulia akiwa na mbunge wa kilolo Mwamoto kushoto na viongozi wengine 




Rc Iringa Amina Masenza akifungua mashindano hayo 

Hawa ni viongozi wa timu shiriki 


Rc Iringa akigawa vifaa vya michezo kwa viomgozi wa timu zinazoshiriki mashindano hayo 

Mwenyeki wa chama cha waamuzi mkoa wa Iringa Ramadhan Mahano akikaribisha viongozi kuzindua mashindano hayo 

RC Iringa Amina Masenza akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kibwabwa FC 

Diwani Kimata akiwa na timu yake wakati mbunge Kabati akisalimiana na wachezaji 

Mgeni Rasmi mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akisalimina na wachezaji wa timu ya Kihesa Fc ambayo imeshinda mchezo huo kwa goli 1-0

RPC Iringa Julius Mjengi akisalimiana na timu ya Nduli FC 

Mkuu wa mkoa na viongozi mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa KIhesa FC 

Rc Iringa akimpongeza mwamuzi wa kitaifa kutoka mjini Iringa Janeth Balama ambapo mkoa unakusudia kumwezesha kupitia wadau ili awe mwamuzi wa kimataifa 

Mbunge Kabati akimpongeza Muamuzi Janeth 

RC akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Kibwabwa FC 

Dc Kasesela akijiandaa kupiga mpira 

Mbunge Venanve Mwamoto na Ritta Kabati wakiwa golini kujiandaa kudaka 

Mlinda mlango Kabati akijaribu kudaka mpira uliopigwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina masenza 



Janeth Balama akiwajibika 

Makamu mwenyekiti wa Bavicha Taifa Patrick Ole Sosopi katikati akimpongeza mbunge Ritta Kabati kwa kuanzisha mashindano hayo kulia ni mwenyekiti wa chadema Iringa mjini Frank Nyalusi 






No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...