Saturday, 30 September 2017

SIMBAYA BLOG SASA KUITWA TUMBUSI BLOG!



HABARI YA LEO WADAU, UONGOZI WA SIMBAYA BLOG UMEAMUA KUBADILI JINA LAKE KUTOKA SIMBAYA BLOG NA TUMBUSI BLOG. HII NI MUHIMU SANA KWA SABAU TUMBUSI (VULTURES) KAMA WANAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO JUUWAKO KWENYE HATARI KUBWA KUTOWEKA.

TUMBUSI WAKIPUNGUA MAANA YAKE MIZONGA ITAONGEZEKA, WANYAMA WALA MIZOGA WATAONGEZEKA NA HIVYO MAGONJWA KAMA KICHAA CHA MBWA, KIFUA KIKUU NA KIMETA VITAONGEZEKA.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...