Saturday, 2 June 2018

TIZAMA YANGA JINSI WANAVYOJIFUA HUKO NCHINI KENYA KUJIWEKA MGUU SAWA KWENYE MICHUANO YA SPORTPESA




Na Joseph Oima, Nakuru

Kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi yake ya kwanza kabla ya mechi yao ya kwanza ya michuano ya SportPesa Super Cup, keshokutwa.


Yanga imefanya mazoezi yake ya kwanza mjini Nakuru nchini Kenya, tayari kwa kazi ya keshokutwa dhidi ya Homeboyz.



Yanga iliwasili mjini hapa jana ikitokea jijini Dar es Salaam tayari kushiriki michuano hiyo itakayoshirikisha timu nane, nne zikiwa kutoka Tanzania na nne za hapa Kenya.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...