Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob John Mkunda, amewasili mkoani
Iringa leo kwa ziara ya kikazi.
Katika ziara hiyo, Jenerali
Mkunda amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Komredi Kheri James, pamoja na
wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Mkoa ambapo walijadiliana masuala mbalimbali
yanayohusu usalama na ulinzi wa wananchi.
No comments:
Post a Comment