Timu ya Polisi Mkoa wa Iringa wenye jezi za bluu wakicheza mechi ya kirafiki na Timu African Lyon ambapo timu ya Polisi Iringa iliibuka na ushindi wa bao 1-0 uliyofanyika katika Uwanja wa Samora mjini Iringa leo. Goli hilo lilifangwa na Mshambuliaji na Maiko Mamba wenye jezi nambari 10 mgongoni baada ya kupata pasi kutoka kwa midfielder Bunda Odeni katika dakika 10 kipindi cha kwanza.Bw. Aristos Nakitas Katibu wa Chama cha Soka Morogoro kisalimiana na wachezaji wa timu ya African Lyon wenye jezi ya orange kabla ya kuanza kwa mechi ya kirafiki leo mjini Iringa.Timu ya Polisi Iringa na picha pamoja na Timu ya Lyon wenye jezi ya rangi ya machungwa.Timu ya Polisi ikipiga picha ya pamoja na viongozi wake wa kwanza kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Timu hiyo Mohamed Semunya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment