Mafundi na abiria wa bus la Abood akisaidiana kutengenaza ekizoti paipi ya bus baada kukatika katika eneo la Igemi katikati ya Mahenge na Mtandika Wilaya ya Killolo mkoani Iringa jana majira ya saa 3 asubuhi. Bus la Abood lilianza safari kutoka Iringa Mjini kwenda Dar saa 1 asubuhi lakini lilipofika eneo la Igemi 'exhust pipe' ilichomoka na mafundi wa basi wakatengeza kidogo ndipo tulipofika Hoteli ya Aljazeera walilichomelea na tukaenedelea safari hadi Ubungo saa 9:30 hivi.
Foleni ya magari kama ilvyokutwa katika eneo la Igemi katika ya Mahenge na Mtandika wilayani Kilolo, Mkoa wa Iringa ya kisubiri kuruhusiwa na watengezaji wa barabara ya Tanzam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment