Monday, 20 September 2010

ISSA MICHUZI NDANI YA NYUMBA

Mwanablogger mkongwe nchini Issa Michuzi (wa kwanza kuria) akiwa Mjini Iringa leo, wa kwanza kushoto ni wanablogger wengine Friday Simbaya na Francis Godwin wa Mjini Iringa. Bw. Michuzi yupo Iringa kwa ajili ya ziara ya kampeni za uchaguzi kwa Mgombea Urais Tanzania kuptitia tiketi ya CCM, Dkt. Jakaya Kikwete itakayoaanza kesho.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...