Wanahabari wakiwa katika picha ya pamoja katika Uwanja wa Ndege Nduli Mjini Iringa leo wakati wakimsubiri Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Jayaka Mrisho Kikwete tayari kwa kuanza kampeni za uchaguzi zake mkoani Iringa. Kutoka kushoto ni Friday Simbaya wa The Guardian-Iringa, Anita Boma wa Uhuru/Mzalendo-Iringa, Issa Michuzi wa DailyNews na Selina Wilson wa Uhuru/Mzalendo-Dar.
Journalists sharing experiencce and ideas while waiting for Presidential candidate on the ticket of CCM, Dr Jakaya kikwete at the Nduli Airport in Iringa. The CCM presidential flagbearer has started his election campaign rallies in the region on Tuesday by staring with Kilolo, Kalenga, Isimani and later on in Iringa Urban.
CCM Presidential hopeful, Dr Jakaya Kikwete arriving at Nduli Airport in Iringa ready to start his election campaign rallies, he landed at 09:30 hrs morning and was welcomed by Iringa residents today.
Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dr Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na Green Guard mara baada ya kuwasiri wa Uwanja wa Ndege Nduli Mjini Iringa leo.
Mgombea Urais kupitia CCM Dr Jakaya kikwete akimtazama mtoto baada ya kumpa zawadi alipowasiri uwanja Ndege wa Nduli wakati akipita kuwasalimia waliyofika kumlaki uwanjani hapa.
Mkazi wa Iringa Mjini ambaye hakufahamika jina lake mara moja akimuonyesha mjuku wake Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM wakati akihutubia wananchi na wanachama wa CCM Uwanja Samora jioni ya leo ambapo uwanja ulifurika umati wa watu.
Mgombea Ubunge Viti-Maalum mjini Iringa Lediana Mng'ong'o kushoto na Mgombea Ubunge Jimbo la Iringa Monica Ngezi Mbega wakibalishana mawazo leo katika Uwanja wa Ndege Nduli Mjini Iringa kabla ya kuwasiri kwa Mgombea Urais kuptia CCM Dr Jakaya Kikwete kiwanjani hapa kutoka Dar es Salaam.
Monica Mbega pressure inashuka pressure inapanda baada ya Ugombea Ubunge kupitia Chadema Mchungaji Peter Msigwa kumnima usingizi katika kamapeni zake za uchaguzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment