Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Twinzi iliyopo wilayani Mbozi mkoani Mbeya Joshua Ngimio (31) na mkazi wa Mbozi akisubiri kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali na kuumia katika paji la uso katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa.
Thursday, 14 October 2010
BREAKING NEWS
Basi la Kampuni ya LUTE LWEDI la pinduka na kujeruhi abiria zaidi ya 20 na kukimbizwa Hospitali ya Mkoa ya Iringa kwa matibabu katika ajali iliyotokea eneo la Lundamatwe wilayani Kilolo, Mkoa wa Iringa jioni ya leo barabara kuu ya Dar es Salaam-Iringa. Basi hilo lilikuwa linatoka Dar kwenda Tunduma wilayani Mbozi, Mkoa wa Mbeya.
Baadhi abiria waliopata ajali wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa (OPD) wakisubiri matibabu baada ya kupekewa na wahudumu wa hospitali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment