Wednesday, 13 October 2010

KAMPENI ZA UCHAGUZI



Mgombea Udiwani Kata ya Mtwivila Mjini Iringa Bw. Vitus Mushi (kushoto) kupitia CCM akiwahutubia wanachama na wananchi wa Mtaa wa Idunda kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi leo jioni. Aidha, katika mkutano mgombea huyo udiwani waliwambia wananchi kuwa endapo watamchagua kuwa diwani wa kata huyo ifikapo Oktoba 31, 2010 atahakikisha anaboresha miundombinu za afya, elimu na barabara na kuongeza kuwa barabara kubwa za Kata ya Mtwivila zinawekwa rami.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...