Wananchi wa Jimbo la Iringa Mjini wakimsubiri Mgombea Mwenza wa Urais kupitia chama cha CUF Juma Hajj Duni katika kampeni za uchaguzi leo bila mafanikio kutokana mgombea mwenza huyo kutofika mkutanoni kwa sababu ya kuchelewa kufika wakati akitokea Sumbawanga mkoani Rukwa.
Kijana mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja akitoa burndani kwa kucheza muziki waTaarabu katika mkutano wa kampeni wa Chama Cha Wananchi (CUF) viwanja vya Mwembetogwa Mjini Iringa leo, ambapo mgombea mwenza wa urais kuptia chama hicho Juma Hajj Duni alitalajia kuhutubia wananchi wa Jimbo la Iringa Mjini lakini mgombea mwenza huyo hakufika na baadae mkutano kuhairishwa baada ya saa 12:00 jioni.
Mgombea Mwenza alikuwa anatokea Sumbawanga mkoani Rukwa alikofanya mikutano miwili ya kampeni na kesho saa 3 asubuhi hadi saa 5 atafanya mkutano wa kampeni mjini hapa baada ya wanachama kuomba kibali cha kufanya mkutano upya kutoka jeshi la polisi.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakitundika bango kubwa la Mgombea Urais Tanzania kupitia chama hicho Dk. Jakaya Kikwete kwenye Ofisi Kuu ya Mkoa Mjini Iringa jioni ya leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment