Wednesday, 20 October 2010

ZIMEBAKI SIKU 11 KABLA YA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA

 Mtoto ambaye jina lake halikufahamika mara moja akifuatilia mkutano wa kampeni za uchaguzi uliyofanyika katika Kata ya Mkwawa  huku akiwa ametundika kewenye kigari chake picha za Mgombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa leo.


Wananchi wakiwa wamekunja ngumi kwa pamoja na kupiga kilele kwa kusema 'People's Power' kama 'slogan' ya chama cha CHADEMA katika mkutano wa kampeni wa uchaguzi uliyofanyika Kata ya Mkwawa Jimbo la Iringa Mjini ambapo Mgombea Ubunge alikuwa akuhutubia jioni ya leo.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...