Tuesday, 26 October 2010

TATIZO LA MAJI SHULENI

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mtwivila Manispaa ya Iringa kushoto alitolewa darasani asubuhi na mwalimu wake ili akachote maji kwa ajili ya kumwagilia maua kutoka kwenye mfereji wa maji machafu (mchambawima) kutokana tatizo la maji linayoikumba shule hiyo leo. (PICHA. FRIDAY SIMBAYA)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...