Thursday, 4 November 2010

KIKUNDI CHA SANAA



KIKUNDI cha Sanaa cha ‘Imarisha Vijana Ongeza Ajira’ (IVA) kilichopo Kata ya Ludewa, wilayani Ludewa Mkoa wa Iringa kikicheza ngoma za asili za Lugambusi na Kihoda hivi karibuni. Kikundi hicho pia kinaelimisha jamii juu ya Ukimwi, Mazingira pamoja na kufanya shughuli za maonesho katika sherehe za kitaifa nchini. (PICHA: FRIDAY SIMBAYA)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...