Thursday, 4 November 2010

MBUNGE MTEULE WA JIMBO LA IRINGA MJINI


Mbunge Mteule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) Jimbo la Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akihojiana na mwenye blog hii hayupo pichani muda mfupi baada ya kutembelea Ofisi ya ‘The Guardian/ Nipashe’ iliyopo katika jingo la NSSF ‘Akiba House’ mjini Iringa, Mbunge mteule huyo alivunja ngome ya CCM Mkoa wa Iringa baada ya kuwabwagwa vibaya wapinzani wake katika matokeo ya ubunge baada ya kujizolea kura 17,742 dhidi ya kura 16,916 alizopata Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Monica Mbega. (PICHA: FRIDAY SIMBAYA)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...