Sunday, 17 April 2011

DOMINIKA YA MATAWI, KUINGIA JUMA KUU

Misa inaendelea wakati wa Jumapili ya Matawi
katika Kanisa Kuu la Peramiho, Songea,
huku waamini wakisikiliza Neno la
Mungu, na hasa Injili nzima ya Mateso ya
Yesu Kristo kadiri ya Mwinjili Marko.

Waamini  mbalimbali kutoka Peramiho wakitoka kanisani baada ya
Misa ya Dominika ya Matawi leo.
Leo ni Dominika ya Matawi duniani kote, waamini wa Kanisa Katoliki
 wanaazimisha Siku ya Matawi ilikufanya ukumbusho wa
Yesu Kristo kuingia Yerusalemu, alipojitoa nafsi yake
kwa ajili yetu.


What is Palm Sunday?


What do Christians Celebrate on Palm Sunday

On Palm Sunday Christians celebrate the triumphal entry of Jesus Christ into Jerusalem, the week before his death and resurrection. For many Christian churches, Palm Sunday, often referred to as "Passion Sunday," marks the beginning of Holy Week, which concludes on Easter Sunday.

The Bible reveals that when Jesus entered Jerusalem, the crowds greeted him by waving palm branches and covering his path with palm branches. Immediately following this great time of celebration in the ministry of Jesus, he begins his journey to the cross.

The biblical account of Palm Sunday can be found in Matthew 21:1-11; Mark 11:1-11; Luke 19:28-44; and John 12:12-19.

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...