Kaimu Mganga Mkuu (W) Halmashauri
ya Wilaya Songea, Dr. Stephen Mhando akizungumza
na wanasemina wakati akifungua Kikao cha Mkoa cha Kutathmini na Kuratibu
shughuli za magonjwa yasiopewa kipaumbele
(Neglected Tropical Diseases) cha siku tatu mkoani Ruvuma 2010-2011,
kilichofanyika Peramiho LEO. Kushoto kwake ni Mratibu wa magonjwa yasiopewa
kipaumbele mkoani Ruvuma, Dr. Ida Ngowi. Magonjwa hayo ni kama vile Kichocho
cha kibofu na tumbo, Usubi , Minyoo ya tumbo (Soil worms), Matende na Mabusha
na vikope (Trachoma). (PICHA: FRIDAY SIMBAYA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment