Wednesday, 23 January 2013

MISA YA MAZISHI


Askofu wa Jimbo la Njombe, Mhashamu  Alfred Maluma akitoa  buriani   katika Misa ya mazishi aliyekuwa Profesa wa Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino-Peramiho Padri Dietram (Alfred) Hofmann OSB iliyofanyika katika Kansia la Abasia ya Peramiho,   aliyefariki mapema jana na kuzikwa leo katika makaburi ya abasia (Picha na Friday Simbaya)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...