Thursday, 4 April 2013

MAMIA YA WAKAZI WA PERAMIHO WAMZIKA MZEE MHAGAMA

 
Paroko wa Parokia ya Lugarawa, Jimbo la Njombe Padri Jordan Mwajombe (wa tatu kutoka kushoto) na  Padri Benedict OSB (kulia) wa Parokia ya Peramiho katika Jimbo Kuu la Songea  wakishirikiana kuongoza ibada ya mazishi  leo yaliyofanyika kwenye Jumuyia ya Mtakatifu. Benadetta  Kata ya Peramiho, Songea mkoani Ruvuma.



Watoto wa marehemu Mzee Mhagama wakiweka taji kwa pamoja kwenye kaburi la baba yao wakati  wa mazishi ya yaliyofanyika makaburi ya Lundusi.

Mamia ya wakazi wa Peramiho wakiwa na huzuni kubwa wakati wa mazishi ya aliyekuwa mtumishi wa kiwanda cha uchapaji cha Peramiho, Mzee Bernhard Mhagama katika makuburi ya Lundusi Kata ya Peramiho, Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...