Sunday, 7 April 2013

OPEN AIR SALOON AVAILABLE IN SONGEA

Mkazi mmoja wa Mtaa wa Yerusalemu Kata ya Peramiho, Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, aliyefahamika kwa jina la mama Brai akimnyoa mtoto wake wa kiume mtindo wa kiduku nyumbani anayesoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Peramiho A baada ya likizo fupi ya Pasaka kumalizikia jana.


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...