Saturday, 14 September 2013

MKUTANO WA WADAU WA HABARI SONGEA


(L-R) Mohamed Mchele mdau, M/kiti - UWABIMASO Karim Ismail na Shekhe Abdullah Hamidu (Kitete) ambaye in shekhe wa Wilaya ya Songea mjini wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano wa wadau wa habari ulioendeshwa na Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Ruvuma (RPC) kwa ufadhili ya Umoja wa Vilabu vya waandishi wa habari nchini (UTPC),uliyofanyika Ukumbi wa Majengo SACCOS Mitumbani Songea mijini.
                           
Mwenyekiti wa Umoja wafanyabiashara Manispaa ya Songea (UWABIMASO) Karim Ismail Matumca akifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano wa wadau wa habari ulioendeshwa na Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Ruvuma (RPC) kwa ufadhili ya Umoja wa Vilabu vya waandishi wa habari nchini (UTPC),uliyofanyika Ukumbi wa Majengo SACCOS Mitumbani Songea mijini.


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...