Sunday, 24 November 2013

MSIMU WA MASUKU NA MAEMBE


Wakazi wa mtaa wa Lipinyapinya katika Kijiji cha Peramiho B, wilayani Songea (V), mkoani Ruvuma ambao pia ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Mapinduzi wanaosoma darasa la tano na nne wakifukua matundapori aina ya masuku baada ya kuyavundika kwa siku 3 ardhini tayari kwa kula jana mchana. (Picha na Friday Simbaya)



   



No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...