Monday, 2 December 2013

KILELE CHA MWAKA WA IMANI NA JUBLEI YA MIAKA 25 YA JIMBO LA SONGEA TAREHE 01.12.2013


 
Baadhi ya waumini wa Parokia ya Peramiho wakisalimia nje ya Kanisa ya Abasia ya Mt. Benedikto muda mfupi baada ya kumalizika kwa Misa  Takatifu ya kwanza jana, ikiwa ni Kilele cha Mwaka wa Imani na Jublei ya Miaka 25 ya Jimbo la Songea.


Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakipita karibu na rundo la taka ilioachwa bila kuzolewa kwa muda mrefu katika mtaa wa Soko Kuu jana.

Wakazi wa Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma wakifanya biashara zao kandokando na dampo katika Mtaa wa Majengo-Mitumbani  wakati wa mnada wa kila Jumapili (Sunday Market) jana. Rundo hilo la taka limeachwa  bila kuzolewa kwa muda mrefu, ambapo taka hizo zikiachwa kwa muda mrefu bila kuzolewa zinaweza kusababisha mlipuko wa magojwa mbalimbali wakati huu wa  kipindi hiki cha msimu wa mvua. (Picha na Friday Simbaya)

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...