Sunday, 2 February 2014

MATUKIO KATIKA PICHA










Hapa ni Hospitali ya Peramiho Out Patient Department (OPD)







Wakazi wa Mjini Songea Mkoani Ruvuma, Mtaa wa Mfaranyaki nusura wazichape kavukavu baada ya kutofautiana kauli wakati wakipata  pombe za viroba aina ya 'Zed' jana mchana.










Huu ni Uyoga aina ya Ulelema.


Baadhi ya wafuasi ya chama cha mapinduzi (CCM) wakiwa kwenye gari aina ya pickup wakipita katika m
Mtaa wa Mfaranyiki katika Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma ikiwa ni sehemu ya  hitimisho la sherehe za kuzaliwa kwa Chama cha CCM  tangu 1977.


Mkazi mmoja wa Songea Mjini mkoani Ruvuma akipita jirani na ndara (mkobasi) zilizopangwa kandokando ya barabara ya kuu kwenda mbinga jana mchana.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...