Monday, 21 April 2014

MREJESHO KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA





Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Iringa mjini mkoani Iringa na mjumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mch. Peter Msigwa (Chadema) akibadilishana mawazo na wakazi wa Iringa mjini leo mchana kuhusu kinachoendelea bungeni  mjini Dodoma. (Picha na Friday Simbaya)




No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...