Sunday, 31 August 2014

LHRC WAGAWA CD, FLASH DISK,VIPEPERUSHI PAMOJA NA RANDAMA BURE...!

kihesa_0774d.jpg
Mkazi wa Kihesa katika Manispaa ya Iringa, Peter Kalawa akiuliza swali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni ya Kituo cha Sheria na haki za Binadamu (LHRC) ya kusambaza uelewa juu ya Katiba kwa wananchi uliyofanyika Kihesa Sokoni hivi karibuni. Wakati wa mkutano CD za sauti ambako Rasimu ya Pili ya Katiba imerekodiwa yote kwa lugha nyepesi, "flash disk" kwa ajili ya madereva wa Bodaboda na machapisho kwa lugha nyepesi vilitolewa bure .(PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

baadhi_b3eab.jpg
Wakazi wa Kihesa katika Manispaa ya Iringa, wakifuatilia kwa umakini mkutano wa hadhara wa Kampeni ya Kituo cha Sheria na haki za Binadamu (LHRC) ya kusambaza uelewa juu ya Katiba kwa wananchi unaendelea katika mikoa 20 ya Tanzania bara na visiwani, uliyofanyika Kihesa Sokoni hivi karibuni. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)


WAKILI_8a589.jpg

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...