Thursday, 30 October 2014

MZEE MANENTO WA BONGO MOVIE AMEAGA DUNIA

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

Wiki moja  baada ya kutokea kwa msiba wa mmoja wa wasanii wa TMK Wanaume Family YP na saa chache baadaye ukatokea msiba mwingine wa aliyekuwa msanii wa maigizo na vichekesho Sherry Mwana, leo Oktoba 30 umetokea msiba mwingine Bongo Movie.

Taarifa za awali zimeanza kusambaa kupitia watu mbalimbali maarufu Tanzania ambao wameaanza kuonyesha masikito yao akiwemo msanii Bob Junior kuhusu kifo cha mzee Manento ambaye inadaiwa amefariki jana usiku.


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...