Friday, 21 November 2014

SIKU YA CHOO DUNIANI, SIKU YA UNAWAJI MIKONO DUNIANI NA WIKI YA USAFI TANZANIA

MMOJA ya wakazi wa Kitongoji cha Mpwapwa, Kijiji cha Kihanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa akinawa mikono kwa sabuni kutoka kwenye kibuyu mchirizi. Kitongoji hicho kimefikia hatua ya kutangazwa kuwa kitongoji kisichotupa kinyesi ovyo (Open Defecation Free Sub- village) na kuzawadiwa vifaa vya ujenzi (bati 10 na saruji mifuko 8) vyenye thamani ya laki tatu. Awali timu wa wataalamu toka sekretarieti ya mkoa pamoja na timu ya wataalamu kutoka halmashauri zote katika mkoa zilifanya ziara ya mafunzo katika maeneo mbalimbali yanayofanya vizuri katika uboreshaji wa huduma za maji, afya na usafi wa mazingira. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)


No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...