Monday, 22 December 2014

TUNACHOTA MAJI...!


Wakazi wa mtaa wa idunda manispaa ya iringa ambao hawakufahamika majina yao mara moja wakichota kwenye kisima cha maji kilichopo mtaani kwao kilichofadhiliwa na Dhinureyn Islamic Foundation mkoani iringa. Maji hayo yanauzwa ndoo mbili kwa shilingi 50/- 

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...