Thursday, 1 January 2015

MKUU WA MKOA WA IRINGA AKABIDHI BATI 500 KWA HALMASHAURI




Mkuu wa mkoa wa iringa amina juma masenza (katikati)akikabidhi bati 100 kwa kaimu mkurugenzi wa manispaa ya iringa erasto kiwale ambaye pia ni afisa utumishi kwa ajili ya ujenzi wa maabara, anayeshuhudia ni katibu tawala wa mkoa (RAS) Wamoja Ayub.

Aidha, mkuu huyo alikabidhi mabati mengine kwa halmashauri ya mufindi ilipewa bati 150, kilolo (150) na wilaya ya iringa ilikabidhiwa bati 100 kwa ajili ya kumamilisha maabara ambapo zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi.

Jumla ya maabara 318 zinatarajiwa kujengwa katika jumla ya shule za sekondari 106 mkoani iringa ambapo kila shule inatakiwa na maabara 3.



No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...