Thursday, 8 January 2015

MSONGAMANO WA MAGARI MJINI IRINGA...!

Msongamano wa magari leo maeneo ya posta mjini Iringa kutoka na ujenzi wa barabara ya Iringa-Dodoma unaoendelea na kampuni ya kichina.


Fundi wa gereji katika kituo c cha mafuta cha TFA cha mjini Iringa, Mzee Haruna (wa pili kulia) akipata kikombe cha chai asubuhi kwa mama muuza chai karibu na kituo hicho  leo, ambapo kikombe kimoja cha chai uuzwa shilingi mia mbili tu.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...