Monday, 16 February 2015

UTATA WAENDELEA KUJITOKEZA NANI ATAKUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJI







  fredrick mwakalebela akizungumza na waandishi wa habari

 mwanahabari frank kibiki, aliyewahi kuwa
katibu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (uvccm) ngazi ya wilaya kwa
zaidi ya miaka 10 na ambaye ni mjumbe wa nec.


 fredrick mwakalebela akiwa na rais wa jamhuri ya muungano ya tanzania.

na mwanahabari wetu fredy mgunda,iringa.

wananchi na
wananchama wa chama cha mapinduzi (ccm)wa manispaa ya iringa wameendelea
na  sitofaham na ni mtu sahihi wa
kugombea jimbo la iringa mjini kutokana na wagombea wengi kujitokeza katika
harakati hizo.










wakizun
gumza kwa nyakati tofauti wananchi na wanachama hao wamesemakuwa kuna watu
ambao tayari wamejijengea majini katika harakati hizo ambao na jesca
msambatvangu,fredrick mwakalebela na mahamood madenge wote wanasadikika kuingia
kwenye kinyang’anyilo hicho.









ila mwanahabari frank kibiki, aliyewahi kuwa
katibu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (uvccm) ngazi ya wilaya kwa
zaidi ya miaka 10 na ambaye ni mjumbe wa nec ameonekana kuvurunga kabisa plani
za wanachama kutokana na kuoneka ni kiongozi anayefaa kuigwa na kila lika
inayomzunguka.









wakizunguza
kwa nyakati tofauti wanachama wa chama cha mapinduzi wamesema kuwa frank kibiki
ndiye mtu pekee anayeweza kureta upinzani kwa mbunge wa jimbo hili mchungaji
peter msigwa kutokana na kujiamini kwake.









wameongeza
kwa kusema kuwa  frank kibiki anaushawishi
mkubwa kwa jamii tofauti na na watu wengine wanaopanga kugombea jimbo hilo kwa
sababu anasiasa safi na sera ambazo zinatekelezeka  kulingana na mazingara ya wananchi wa
manispaa ya iringa.














pia waliongeza kuwa wananchi
wanahamu ya kumfahamu frank kibiki kutokana na jina lake kukua kwa ghafla na
kuwaguza wanachi wengi hivyo inapelekea siku hadi siku kumtafuta na kutaka
kumjua yeye ni nani na anafanya nini.









walimalizia kwa kusema kuwa kibiki
ni mtu pekee ambaye anaweza kuwaweka wanachama cha mapinduzi pamoja kutokana na
kutokuwa na kundi hata moja ndani ya chama tofauti na wagombea wanaotarajiwa
kugombea jimbo hili.









kwa upande wake katibu wa ccm mkoani
iringa hassani mtenga alisema ipo siku kwenye kura za maoni watu watazimia hii
ni kutokana na baadhi ya watu nwanaotarajia kugombea jimbo hili wamekuwa
wakitumia pesa nyingi kuwaonga wananchi ili wamchague na akasisitiza kuwa
uongozi sio pesa uongozi ni kipaji na uwezo wa mtu binafsi aliopewa na mungu.


































No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...