Friday, 13 March 2015

KIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA UFUATILIAJI WA SHERIA YA MIZANI 1982


Mwenyekiti wa Kikosi Kazi Eng. Wariywa Nnko na Katibu wake Selina Laswai akifuatilia kikao cha ufuatiliaji wa sheria mizani ya mwaka 1982 kwa mikoa ya Iringa na Njombe kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania tawi la Iringa leo kupitia TCCIA .





Kikao kinaendelea...

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...