Wednesday, 1 April 2015

GOODLUCK JONATHAN AMPIGIA SIMU MPINZANI WAKE KUMTAKIA HERI YA USHINDI..!!




Nigerian President Goodluck Jonathan has called his rival Gen. Muhammad Buhari to congratulate him on his victory and has conceded defeat even though Electoral Commission has not officially announced the final results. Nigeria imeingia kwenye kurasa mpya wa demokrasia ambapo Rais Goodluck Jonathan amempigia simu mpinzani wake akimpongeza kwa ushindi.


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...