Wednesday, 1 April 2015

JK AKIHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa
Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Machi, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.


(Juu na chini) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Machi, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.





Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wajumbe wengine akifuatilia mkutano huo.




Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiondoka baada ya yeye kuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Machi, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani. (PICHA NA IKULU)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...