Thursday, 11 June 2015

JANUARY MAKAMBA APATA WADHAMINI 680 MKOANI IRINGA LEO!



Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli akiwatambulisha wasanii walioambatana nao ambao ni  Fid Q na Mwana FA.

Wasanii P. Funky Majani na Ditto wakisiliana wakazi wa Iringa, wasanii waliambatana msafara wa January Makamba ambaye anatafuta wadhimini katika mikoa mbalimbali Nyanda za Juu Kusini.

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli (CCM) akimtambulisha mke wake.







Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli (CCM) akisalimiana na wananchi mjini Iringa leo wakati akisaka wadhamini katika mbio zake za kusaka urais mwaka ambapo walifanyikwa kuwa wadhamini 680 na kuvuka kiwango walichopangiwa na chama cha wadhimini 30 tu.





No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...