Tuesday, 29 September 2015

HONGERA MOSES NA TUMA KWA KUFUNGA PIGU ZA MAISHA...!



Pongezi kwako Dada yangu kipenzi, Rafiki yangu na Mfanyakazi mwenzangu Bi Tuma Mwenda kwa kufikia upeo huu! Mwenyezi Mungu awe rubani wa maisha yenu mapya sasa na hata zijazo...! MUCH RESPECT TO YOU ALL, MR. & MRS. Moses Malibiche

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...